Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Kijana wa Kitanzania aliyekuwa kwenye msafara wa Kilimanjaro, Judith Severin (wa pili kutoka kulia) akisoma tamko kuhusu yaliyojadiliwa katika kongamano la wanawake ambao ni wakulima wadogo wadogo waliokuwa kujadili changamoto na kutoka na maadhimio hasa katika suala la kumiliki Ardhi.
Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania TGNP Bi Lilian Liundi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu walivyowasimamia wanawake wa Tanzania waliowawakilisha wenzao katika kongamano la wanawake lililiofanyika Mkoani Kilimanjaro.
Mwanamke aliyefika kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro, Flola Matiasi akizungumza na vyombo vya habari kuhusu alivyofanikiwa kufika katika kilele cha mlima Kilimanjaro na kusimika maadhimio hasa umiliki wa ardhi kwa wanawake.
Baadhi ya wanawake waliowawakilisha wenzao katika Kongamano lililofanyika Mkoani Kilimanjaro na kuwakutanisha wanawake kutoka nchi mbalimbali barani Afrika.
No comments:
Post a Comment