Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Wawakilishi wa Wanawake kutoka nchini Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa kuwapokea wanawake waliopanda mlima Kilimanjaro na kusimika madai yao juu ya umiliki wa Ardhi.
Wawakilishi wa wanawake wa Uganda wakiwasubilia wanawake wenzao waliopanda mlima Kilimanjaro.
Wawakilishi wa wanawake kutoka nchi mbalimbali barani Afrika wakiimba nyimbo mbalimbali walipokuwa wanaelekea eneo la Marangu lilipo geiti la kupandia mlima Kilimanjaro ili kuwapongeza wanawake waliopanda mlima kilimanjaro na kufika katika kilele cha mlima huo na kuweka madai yao hapo.
Wawakilishi wa wanawake kutoka nchini Tanzania wakiwapokea wanawake wawili waliofanikiwa kufika kilele cha mlima Kilimanjaro na kuweka Madai ya hasa la mwanamke kupata haki sawa katika kumiliki Ardhi
Wanawake wa Kitanzania waliofanikiwa kufika kilele cha mlima Kilimanjaro wakiwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa wanawake wa Tanzania
Wanawake wa Kitanzania wakiwa wanajiandaa kuingia ukumbini kwa ajili ya kufunga kongamano lililowakutanisha wawakilishi wa wanawake wa Afrika waliokutana katika Chuo cha MS-TCDC mkoani Arusha.
Wawakilishi wa wanawake kutoka nchini Nigeria wakiingia ukumbini wakati wa kufunga kongamano lililowakutanisha wawakilishi wa wanawake wa Afrika uliofanyika katika Chuo cha MS-TCDC mkoani Arusha.
Wawakilishi wa wanawake kutoka nchini Malawi wakiingia ukumbini wakati wa kufunga kongamano lililowakutanisha wawakilishi wa wanawake wa Afrika uliofanyika katika Chuo cha MS-TCDC mkoani Arusha.
Wawakilishi wa wanawake kutoka nchini Uganda wakicheza kwa firaha wakati wa kuingia ukumbini wakati wa kufunga kongamano lililowakutanisha wawakilishi wa wanawake wa Afrika uliofanyika katika Chuo cha MS-TCDC mkoani Arusha.
Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akiwaongoza wawakilishi wa wanawake kutoka nchini Tanzania wakati walipokuwa wakiingia ukumbini kwa ajili ya ufungajiwa kongamano lililowakutanisha wawakilishi wa wanawake wa Afrika uliofanyika katika Chuo cha MS-TCDC mkoani Arusha.
Wawakilishi wa wanawake kutoka nchini Tanzania wakiserebuka kwa furaha
Baadhi ya wanawake kutoka barani Afrika waliokutana katika ukumbi wa Chuo cha MS-TCDC mkoani Arusha
Mwanamziki na Mwanaharakati wa Haki za wanawake, Sister D kutoka nchini Zambia akitoa burudani wakati wa kufunga kongamano lililowakutanisha wawakilishi wa wanawake kutoka nchini mbalimbali barani Afrika uliofanyika katika Chuo cha MS-TCDC mkoani Arusha.
Mwanamziki na Mwanaharakati wa Haki za wanawake, Michael kutoka nchini Zambia akitumbuiza wakati wa kufunga kongamano lililowakutanisha wawakilishi wa wanawake kutoka nchini mbalimbali baran Afrika.
Mke wa Marehemu Saidi Augustino akipokea tuzo ya mume wake aliyekuwa jaji na kuwapiania wnawake kupata haki zao katika jamii kwenye ukumbi wa Chuo cha MS-TCDC mkoani Arusha.
No comments:
Post a Comment