Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Kamishna Diwani Athumani kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAS)
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2016.

akifurahia jambo na Kamishna Diwani Athumani mara baada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAS)
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2016.
Katibu wa Maadili ya Viongozi –
Siasa, Bw. Waziri Kipacha akimuongoza Kamishna
Diwani Athumani kula kiapo cha uadilifu cha viongozi wa umma baada
ya kuapishwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAs)
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Kamishna Diwani Athumani
pamoja na viongozi
waandamizi wa serikali na vyombo vya ulinzi na usalama umma baada ya
Kamishna Diwani kuapishwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAs)
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2016.
No comments:
Post a Comment