HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » ATHARI ZA UGARIBIFU WA MAZINGIRA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Ngombe na mbuzi wakiwa wamesongamana chini ya mti pekee uliokuwepo  katika eneo lililopo  karibu na Shule ya sekondari ya Oljoro  mkoani Arusha wakifuata kivuli ili kujikinga na jua Desemba 17, 2016.  Uharibifu wa mazingira unaosabishwa na  shughuli za binadamu  hasa ukataji miti hovyo unaathiri hata viumbe wengine kama picha inavyoonyesha.
Wananchi wakiwa wamebeba bango lenye maneno yanayoeleza  suala la uharibifu wa mazingira kuwa ni tatizo kwao katika mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye  kijiji cha Ondenderet, Arusha Desemba 17, 2016. 
Mwendesha pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda akiwa amejipumzisha katika eneo lililoathiriwa na uharibifu wa mazingira unaofanywa na binadamu  katika kijiji cha Ormapinu, Arusha Desemba 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: