Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitangaza majina ya walioteuliwa kuwa wenyeviti wa bodi za taasisi za serikali, Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi na Mjumbe wa Baraza la Taifa la Biashara Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 19, 2016.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment