HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » SUMU YA PENZI SEHEMU YA KUMI NA NNE (14)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Haraka akili yangu ikafanya kazi, sikutaka kuonekana sijui kitu kwenye mapenzi na sikupenda kushushwa kiasi cha kuitwa mwanafunzi mwenye aibu, nikajibu kwa kujikaza; “Hapana sina aibu, nataka tukutane kesho saa nne asubuhi, Sinza Africasana, Maembe Lodge,” Yule mtu akajibu “Ok, madam.”
Nikiwa nataka kukata simu nikajikuta nakumbuka jambo muhimu sana nikamuuliza jina lake nani akanijibu; “Madam mimi naomba uniite ‘MR X’ kwa sababu pamoja na kukutana kwetu sitakuonesha sura yangu na sitakiwi kujulikana,” alisema mtu huyo.
Moja kwa moja nikajua ni yule mtu wa siku ile lakini sauti yake ilikuwa kama ya mtu ambaye anajitahidi kuifanya isijulikane, yaani sauti ya kuigiza, nikapima na kugundua ilikuwa ikifanana fika na sauti ya Dr.Ben nikacheka na kujikuta nikijisemea kimoyomoyo; “Mwalimu anakuwa na aibu kama mimi mwanafunzi Duh!”
Mapema siku ya pili nilijiandaa tena kwa kujinyoa majani yaliyoanza kuota katika bustani yangu, nikajipulizia marashi na kuvaa nguo zilizonipa uhakika kuwa Dr.Ben aliyejiita Mr X akiniona lazima adate. 
Nikavua pete yangu ya ndoa na kuiweka kwenye pochi na kuelekea moja kwa moja hapo Afrika Sana kwenye ile Logde ya Maembe nikiwa ndani ya bajaji; Usiniulize niliijuaje hiyo lodge.
Nikiwa njiani nilipiga simu ya yule mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mr X, hakupokea lakini alinitumia meseji akisema, “nimeshafika nipo chumba namba 14 Manyara.”
Mke wa mtu bila aibu nikafika na kuingia ndani ya gesti moja kwa moja nikitafuta kile chumba nilichoelekezwa kisha nikafungua mlango uliokuwa wazi na kuingia ndani.
Kama kawaida nilikutana na yuleyule mtu aliyekuja siku ile kunila denda, japokuwa siku hiyo alikuwa na nguo zake lakini maski ilikuwa ileile na hata mikono yake pia. Akafunga mlango na kunibeba kwenye mikono yake kisha akaanza kunipa nyama ya ulimi nikiwa juujuu. Akanigusa kiuno na kuniamsha mashetani yangu nikajikuta natamka jina; “Dr.Ben hapooo…hapoo ashhhhh” mwenyewe akaendelea na utundu wake akisema; “siyo Dr.Ben, Mr X” nikabadili wimbo nikaanza tena; “Ooh Mr X hapoo ndiyooo uwiiii!”
Alinikunja vilivyo kiasi kwamba nilijikuta miguu yangu ikianza kuniishia nguvu, basi Mr X akanidaka na kunikumbatia akaninong’oneza; “leo nitakupeleka kwenye dunia nyingine upo tayari?”
Nikamjibu; “nifanye utakavyo kila sehemu ni yako.” Baada ya maneno hayo akaanza kunivua nguo zangu moja baada ya nyingine, mimi kwa mijihamu niliyokuwa nayo nikaanza kumvua harakaharaka nikijua pengine baada ya kuvua tu ataanza kunikata kiu kumbe lah.
Akanibeba na kunitupia kitandani, akainuka na kwenda kwenye dressing table akawasha simu yake, akaweka wimbo wa Celine Dione unaoitwa Power of love. Mimi macho yangu yakawa yanamtazama jinsi alivyoumbika kifua chake na zaidi mtalimbo wake ambao japo haukuwa umesimama ulikuwa ukineema upande upande kila alivyotembea.
Baada ya kuweka wimbo huo na kuseti sauti akanifuata kitandani na kuniambia, “kitu cha kwanza kufanya unapokuwa faragha hakikisha unaandaa mazingira yanayomfanya kila mtu kabla ya kufanya mapenzi kujisikia huru juu ya mwenzake.
“Usije ukafanya kitendo hiki wakati mazingira yako hayatoi ushirikiano. Kwa mfano huwezi ukafanya mapenzi vitani au wakati unafanya kazi nyingine. Ili kuenjoy vyote unatakiwa kufanya hayo ukiwa kwenye mazingira maalumu,” alisema Mr X japo mimi nilijua fika na Dr Ben.


ITAENDELEA JUMATATU

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: