HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » SUMU YA PENZI SEHEMU YA AROBAINI NA MBILI(42)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.



“Hapana sitaki nimfumanie, maana nitajidhalilisha mimi na mume wangu.”nilijibu harakaharaka.
“sasa unataka nini tumpigie kigoma au?” alisema Hadija akionekana kushadadia kweli.
“sikia mimi nataka kitu kimoja tu kutoka kwa Fatuma, nataka kujua alifanyajefanyaje hadi akamchukua mume wangu,”
“mh, shoga mbona makubwa! Unasemaje?”
“ndiyo hivyo, nataka kujua hivyo tu, pengine kanizidi ujuzi au kosa labda ni la kwangu nimeshindwa kumdhibiti mume,” niliongea taratibu, Hadija akanitazama akiwa haaminiamini kama nilikuwa nipo siriaz.
“mh kwahiyo unataka mimi nikusaidie ujue ujuzi wa Fatuma akiwa kitandani si ndiyo?”
“Ndiyo shoga yangu, hilo tu hata kama utataka hela nitakupa,” nilisema ili lengo langu litimie.
“sikia mimi nitafanya kitu kimoja, nitamtuma mwanaume akamtongoze Fatuma, halafu nitamtaka atuhadithie kila kitu atakachofanyiwa na Fatuma hadi wakiwa wanafanya mapenzi. lakini shoga sijui kama unachokitafuta utakipata,” alishauri Hadija nikaona huo mpango wake ni mzuri.
Nikiwa na uhakika kuwa mambo yote yataenda poa, siku hiyo nikampa shilingi elfu hamsini, na yeye akanihakikishia kazi imekwisha.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMATATU

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: