Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Katika kusherehekea siku ya Valentine, wadau mbalimbali katika nyumba vya habari (newsrooms) na vyumba vya utangazaji walipata fursa ya kujipatia zawadi mwanana kutoka Coca-Cola ili kukamilisha siku ya wapendanao.
Ilikuwa ni furaha kila kona...
Moja ya zawadi walizogawiza waandishi wa habari.



No comments:
Post a Comment