HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » :KATIBU WA BUNGE DKT. KASHILILAH AONGOZA KIKAO CHA MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA BUNGE LEO UKUMBI WA SPIKA MJINI DODOMA

 Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah akiongoza kikao cha Menejimenti ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Wajumbe wa kikao cha Menejimenti ya Utumishi wa Bunge wakimsikiliza Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: