Katibu wa Kamati ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu,Seperatus Fella, akizungumza kwenye Kikao kilichowakutanisha wajumbe wa Kamati na Sekretarieti ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu,lengo ikiwa ni kupitia Sheria inayohusu biashara hiyo.Wengine ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo,Adatus Magere na Mkurugenzi wa Mradi wa kuzuia biashara hiyo kutoka Taasisi ya Kimataifa ya RTI, Dk. Lyungai Mbilinyi.Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkurugenzi wa Mradi wa Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu kutoka Taasisi ya Kimataifa ya RTI, Dk. Lyungai Mbilinyi, akizungumza kwenye kikao kilichowakutanisha wajumbe wa Kamati na Sekretarieti ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupambana na Biashara hiyo,lengo ikiwa ni kupitia Sheria zinazosimamia biashara hiyo.Wengine ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo,Adatus Magere na Katibu wa Kamati ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Seperatus Fella. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati na Sekretarieti ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu,Hamad Mwe-ndadi, akizungumza wakati wa Kikao chakupitia Sheria inayosimamia biashara hiyo.Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.
Mmoja kati ya wajumbe wa Kamati na Sekretarieti ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, akizungumza wakati wa Kikao cha kupitia Sheria inayosimamia biashara hiyo. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati na Sekretarieti ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu,wakiwa katika majadiliano wakati wa Kikao cha kupitia Sheria inayosimamia biashara hiyo. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
No comments:
Post a Comment