Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini, Jimbo La Karatu, Usharika wa Karatu Mjini akiwafungisha ndoa Bw. Nelson Charles Pallangyo na Bi. Theresia Justine Byakwaga iliyofanyika Agosti 5, 2017 na baadae sherehe ikafanyika ukumbi wa Samawe Complex. PICHA ZOTE NA KAJUNASON/MMG - KARATU.
Bwana Harusi Nelson Charles Pallangyo akimvalisha pete mkewe Bi. Theresia Justine Byakwaga wakati wakifunga ndoa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini, Jimbo La Karatu, Usharika wa Karatu Mjini akiwafungisha nd Agosti 5, 2017.
Bofya hapa kutazama zaidi
Bofya hapa kutazama zaidi
No comments:
Post a Comment