HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » VIDEO – WATU WA WILI WAMEFARIKI DUNIA NA 42 WAMEJERUHIWA KATIKA AJALI YA BUS WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA

Watu wa wili wamefariki dunia na 42 wamejeruhiwa katika ajali ya bus aina ya FUSO lenye Namba za usajili T 606 CTY mali ya kampuni ya kisumapai linalofanya safari zake katika wilaya za Songea na Nyasa MBAMBABAY mkoani Ruvuma.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: