Katika kuazimisha miaka hamisini na tatu ya kuazishwa kwa jeshi la ulinzi nchiniTanzania ,kikosi cha 401 kutoka mkoa wa ruvuma brigde ya kusini wameazimisha siku hiyo kwa kuchangia damu katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa ruvuma .
-



No comments:
Post a Comment