Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe. Nape Nnauye akizungumza jambo na Mbunge wa Kasulu Mjini Mhe. Daniel Nsanzugwako katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk Medard Kalemani akiteta jambo na Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Mbunge wa Mlalo(CCM) Mhe.Rashid Shangazi akiuliza swali katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Mbunge wa Newala Mjini Mhe.Capt.George Mkuchika akiuliza swali katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Mbunge wa Kuteuliwa(CCM) Mhe.Anne KIlango Malecela akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe.Nape Nnauye katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Mbunge wa Kuteuliwa(CCM) Mhe.Salma Kikwete akizungumza jambo na Mbunge wa Chalinze(CCM) Mhe.Ridhiwani Kikwete wakati wa kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi, MAELEZO,DODOMA.
No comments:
Post a Comment