HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro amefariki dunia

Habari zilizotufikia hivi ni kwamba Mkuu wa mkoa mstaafu Mzee Abbas kandoro amefariki dunia usiku huu wa Ijumaa Aprili 27,2018 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es salaam alikolazwa kwa matibabu.

Chanzo chetu kinasema alikuwa ICU kwa muda mrefu sana.

Kandoro amewahi kuwa katika nafasi ya ukuu wa Mkoa katika zaidi ya Mikoa Sita Tanzania Bara ikiwemo Dar es salaam, Arusha, Singida na Mbeya.

Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: