HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » BAADHI YA WABUNGE WAWAKILISHI JUKWAA LA KIBUNGE NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUTOKA TANZANIA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KATIKU MKUU WA NCHI ZA UKANDA HUO

 Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Najma Giga (kushoto) akimsikiliza na mgeni wake Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Mkuu Mhe. Onyango kakoba (kulia) alipomtembelea leo katika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma. 
 Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Najma Giga (kulia) akisalimiana na mgeni wake Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Mkuu Mhe. Onyango kakoba (kushoto) alipomtembelea leo katika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Mkuu Mhe. Onyango kakoba, akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuzungumza na Wabunge wawakilishi kwenye Jukwaa la Kibunge kwenye nchi za Maziwa Makuu ambao pia ni Wabunge wa Bunge la Tanzania katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.

Baadhi ya Wabunge wawakilishi kwenye Jukwaa la Kibunge kwenye nchi za Maziwa Makuu ambao pia ni Wabunge wa Bunge la Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti wao Mhe. Najma Giga (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na wageni wao Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Mkuu Mhe. Onyango kakoba (wa pili kushoto) na msaidizi wake Ndg. Jenny Mbodi (kulia).

(PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: