Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwahutubia Mabalozi wa Wilaya ya Amani Mkoa wa Mjini Kichama wakati alipozungumza nao katika Mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisoma vifungu vya Katiba ya Chama wakati wa mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani Mkoa wa Mjini Kichama wakati alipozungumza nao katika Mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani.
Viongozi,Watendaji na Mabalozi wa Wilaya ya Amani Mkoa wa Mjini Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipozungumza nao katika Mkutano wa Kuimarisha Chama cha Mapinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi kadi ya Uwanachama wa Chama cha Mapinduzi Nd,Mwanaisha Abdalla Bakari kutoka Tawi la CCM Nyerere wakati wa Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani akiwa katika ziara ya kumarisha Chama cha CCM (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Twalib Ali Twalib.
ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea Taarifa ya Mabalozi wa Wilaya ya Amani kutoka kwa Fatma Kassim wakati wa Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi kadi ya Uwanachama wa Chama cha Mapinduzi Nd,Juma Rajab Adam kutoka Tawi la CCM Mpendae wakati wa Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani akiwa katika ziara ya kumarisha Chama cha CCM (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Twalib Ali Twalib.
Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi CCM wakila kiapo mara baada ya kukabidhiwa Kadi zao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo katika Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi kadi ya Uwanachama wa Chama cha Mapinduzi Nd, Salim Mussa Omar kutoka Chama cha CUF wakati wa Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani akiwa katika ziara ya kumarisha Chama cha CCM
Mwanachama Mpya Nd.Salim Mussa Omar akila kiapo mara baada ya kukabidhiwa Kadi ya Uwanachama wa Chama cha Mapinduizi CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo katika Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani
Mabalozi wa Wilaya ya Amani Mkoa wa Mjini Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao leo katika Mkutano wa Kuimarisha Chama cha Mapinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani.
(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment