Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu
Hassan, akisisitiza jambo kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa
ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar
es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili
mabadiliko ya tabianchi.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhandisi Joseph Malongo akifafanua jambo kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa, Alvaro
Rodriguez akizungumza na wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ukuta
wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es
Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili
mabadiliko ya tabianchi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January
Makamba, akifafanua jambo kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa
ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar
es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili
mabadiliko ya tabianchi.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiendelea na majukumu yao wakati wa
sherehe za uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya
Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa
Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu
Hassan, akikagua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack
Obama jijini Dar es Salaam mara baada ya kuuzindua mapema hii leo, ukuta huo
umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Sehemu ya kupumzika iliyojengwa katika ukuta wa ufukwe wa bahari ya Hindi
uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo
umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Msanii Beka Fleva akitoa burudani kwa wananchi wakati wa sherehe za
uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack
Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia
wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Samia Suluhu Hassan,(hayupo pichani) wakati wa sherehe za uzinduzi wa
ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar
es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili
mabadiliko ya tabianchi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan,
akiwapungia wananchi mara baada ya kuzindua ukuta wa ufukwe wa bahari
uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo
umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Picha na Eliphace Marwa – MAELEZO
No comments:
Post a Comment