HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » MAHAFALI YA 15 YA PSPTB YAFANA JIJINI DAR


Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb) (kushoto) akikabidhiwa tuzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Jacob Kibona (kulia) kwa kutambua mchango wa Wizara ya Fedha wakati wa Mahafali ya 15 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb) akizungumza wakati wa Mahafali ya 15 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Jacob Kibona akizungumza katika Mahafali ya 15 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) Godfred Mbanyi akizungumza wakati wa Mahafali ya 15 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB ambapo amewaasa wahitimu kufanya kazi kwa kufata maadili ya kitaaluma wakati wa mahafali hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.
Mshehereshaji ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma ( PSPTB), Shamim Mdee akizungumza jambo wakati wa Mahafali ya 15 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB.
Baadhi ya Wageni waalikwa pamoja na wafanyakazi wa PSPTB wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb) wakati wa Mahafali ya 15 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb) akitoa zawadi kwa baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri kwenye mitihani ya Bodi wakati wa mahafali ya 15 ya Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa huduma za Uanachama na Ushauri wa Kitaalamu, Amani Ngonyani akizungumza wakati wa mahafali ya 15 ya Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb) akiwatunuku wahitimu wa walioudhuria Mahafali ya 15 ya Wahitimu wa Mitihani ya Kitaaluma ya PSPTB yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.

Wahitimu wa mahafali ya 15 ya Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakila kiapo cha utii na uaminifu
Picha mbalimbali za pamoja katika mahafali ya 15 ya wahitimu wa mitihani ya kitaaluma ya PSPTB

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: