HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

WAZIRI MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAJADILI UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI WA MWAKA 2016/2017 NA MALENGO YA MWAKA 2017/2018

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto meza kuu) akizungumza na Watendaji Wakuu wa Wizara yake wakati wa Kikao cha Kujadili Utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa Mwaka 2016/2017 na Malengo ya Mwaka 2017/2018. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam leo. Kulia meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akizungumza na Watendaji Wakuu wa Wizara wakati wa Kikao cha Kujadili Utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa Mwaka 2016/2017 na Malengo ya Mwaka 2017/2018. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAHAMIA RASMI DODOMA

 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora akipokewa na watumishi wa Ofisi yake mjini Dodoma mara baada ya kuwasili katika Ofisi zilizopo `Area D` Dodoma. Kulia ni Bi. Oigenia Mpanduji Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora akisalimiana na Bw. Isaya Kisiri Afisa Ugavi Mwandamizi mara baada ya kuwasili katika Ofisi zilizopo `Area D` Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (kushoto) akiongea na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais mjini Dodoma.

KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI AENDESHA KIKAO CHA IDARA ZA WIZARA HIYO JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akiongoza kikao cha ndani kilichoshirikisha Idara zilizopo ndani ya wizara.Kikao hicho kimefanyika  katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Kamishna wa Jeshi la Magereza Divisheni ya Utawala na Fedha,Gaston Sanga, akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, wakati wa  kikao cha ndani kilichoshirikisha Idara zilizopo ndani ya wizara.Kikao hicho kimefanyika  katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kamishna  wa Fedha Jeshi la Polisi  Albert Nyamuhanga.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke na Afisa Tawala wa Idara hiyo,Jenita  Ndone(Kulia), wakifuatilia kwa makini kikao cha ndani cha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kilichoongozwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Regasira (hayupo pichani) .Kikao hicho kimefanyika  katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Maafisa kutoka idara ya Uhamiaji wakifuatilia mazungumzo yaliyokuwa yakitolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira(hayupo pichani) wakati wa  kikao cha ndani kilichoshirikisha Idara zilizopo ndani ya wizara. Kikao hicho kimefanyika  katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

KATIBU MKUU RWEGASIRA: UHUSIANO KATI YA TANZANIA NA MSUMBIJI BADO UPO IMARA, AWATAKA WATANZANA KUFUATA SHERIA ZA UHAMIAJI NCHI WANAZOISHI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Watanzania wanaorudishwa nchini kutoka Msumbiji. Rwegasira amesema Uhusiano kati ya Tanzania na Msumbiji unaendelea kuimarika kila siku, hivyo aliwataka Watanzania wafuate Sheria za Uhamiaji za nchi hiyo kwani zoezi linalofanyika nchini humo halijawalenga Watanzania pekee bali raia wote wanaoishi na kufanya kazi bila kufuata taratibu za kisheria nchini humo. Aidha, amewataka wananchi kutolikuza tukio hilo bila sababu za msingi. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo.  Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO
SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WADANGANYIFU FOMU ZA MIKOPO YA ELIMU YA JUU

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Naibu katibu mkuu wizara ya elimu sayansi na teknolojia, Profesa Simon Msanjila, amesema serikali imebaini kuwa idadi kubwa ya wanafunzi walioomba mikopo kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini, wameandika na kujaza taarifa za udanganyifu katika fomu zao za maombi.

Profesa Msanjila ameyasema hayo alipokuwa mgeni rasmi katika mahafali ya nne ya chuo kikuu cha Sayansi na teknolojia mkoani Mbeya (MUST), ambapo wanafunzi zaidi ya 800 walihitimu kozi mbalimbali ikiwemo usanifu wa majengo na uhandisi. Alisema serikali imeanza uhakiki wa kupitia fomu zote zilizowasilishwa katika bodi hiyo na kueleza kuwa atakayebainika kujaza nafasi zisizokuwa sahihi lazima afikishwe katika vyombo vya sheria.
“Siku hizi kuna changamoto kwamba kila mwanafunzi akipata udahili ni definition kwamba ametoka familia maskini sasa sijui kama hilo ni kweli. Lakini tuelewe kwamba kuna vigezo ambavyo vimewekwa na ambavyo tunapima ni nani apate mikopo hiyo na vigezo vimewekwa na serikali. Changamoto nyingine ni kwamba waombaji wengine sio wote baadhi wanatoa taarifa zisizo sahihi wanawasilisha document za kuombea mikopo na kufoji na vinginevyo,” alisema Msanjila.
“Serikali imeanza kufanya uhakiki wa fomu zote zilizotumika kwenye maombi na wale watakaogundulika kutumia taarifa za uongo sheria itachukua mkondo wake,” aliongeza.

SERIKALI KUANZISHA MPANGO WA KITAIFA KUPINGA UKATILI WA JINSIA KWA MAMA NA MTOTO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akizungumzia kuhusu serikari inavyounga mkono jituhada za taasisi pamoja na mashirika mbalimbali yakiwemo ya UNICEF na UN Women kujikita katika  utetezi wa ukatili wa kijinsia kwa wanawake. (Picha na Geofrey Adroph)
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wanawake (UNWOMEN), Maria Karadenizli akizungumza na waandishi wa habari kuhusu vitendo vya ukatili wa kijinsia pamoja na kuomba ushirikiano wa serikari pamoja na vyombo vya ili kutengeneza mpango mkakati wa manyanyaso ya wanawake na watoto.
Usia Nkhoma Ledama kutoka UNICEF akieleza jambo wakati wa semina kwa waandishi wa habari iliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Wanawake (UNWOMEN) na kuwakutanisha wadau mbalimbali wa serikali na kijamii iliyofanyika katika Hoteli ya Double Tree jijini Dar Es Salaam leo

Na Rabi Hume, MO BLOG
Licha ya kufanya juhudi mbalimbali za kumaliza vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto kuonekana kusindwa kufanikiwa, serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepanga kuanzisha mpango wa kitaifa wa kuhakikisha vitendo vya ukatili wa kijinsia vikimalizika.

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Sihaba Nkinga katika semina ya siku moja ya waandishi wa habari iliyoandandaliwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa ya UNICEF, UNFPA na UN WOMEN na kueleza kuwa tayari wameshafanya maandalizi ya awali ili kuanzisha mpango huo ambao wanataraji utaweza kufanya kazi baada ya iliyopita kuonekana kukwama.

"Serikali imekuwa ikifanya jitihada mbalimbali kwa kutengeneza sera, sheria na hata hata tumekuwa tukisaini mikataba mbalimbali ya kimataifa ili kupinga vitendo hivi, lakini bado takwimu zinaonyesha vitendo vinaendelea, takwimu inaonyesha wanawake wa umri wa miaka 15-30 asimilia 30 wamefanyiwa ukatili,

"Lengo ni kuja na mpango mmoja ambao utatumika kuelezea mikakati  ambayo itatuwezesha kupambana na swala la ukatili kwa watoto, ukimfanyia mtoto ukatili kwa sasa baadae na yeye atakuja kukufanyia ukatili, ni vyema jambo hili lichukulie kwa namna ya kipekee na kwenda kuelimisha jamii ili ifahamu kuhusu ukatili wa kijinsia na athari zake," alisema Nkinga.

Nae mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wanawake (UN WOMEN), Maria Karadenizli alisema vitendo vya ukatili wa kijinsia vina athari kwa waathirika na wamekuwa wakishirikiana na serikali kuona jinsi gani wanavimaliza lakini pia wameona ni vyema kushirikiana na vyombo vya habari ili kuifikia jamii kwa karibu 

"Tumekuwa tukishirikiana na serikali kupinga vitendo ukatili dhidi ya wanawake na watoto, na hilo linaweza kutekelezwa kupitia sheria za nchi wanawake na kufanikisha kuwepo usawa wa kijinsia kwa wanawake kupatiwa haki zao na watoto kupata haki zao za msingi ikiwepo kusaidiwa ili wapate elimu,

"Tunajua jinsi gani inaweza kusaidia kama mambo haya yakitolewa katika vyombo vya habari, kama kupitia vipindi na picha ambazo zitaonyesha hali ilivyo na hilo itasaidia kuonyesha kwa watanzania jinsi wanawake na watoto wanavyofanyiwa vitendo vya ukatili, tunataka kuona ushirikiano wa wanahabari na kuendelea kutoa elimu kwa jamii," alisema Karadenizli.

Awali akielezea kuhusu semina hiyo, Mtaalumu wa Mawasiliano wa UNICEF, Usia Ledama alisema semina hiyo ina lengo la kuwapa elimu waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali ikiwepo tv, redio, magazeti na blogu ili waweze kuielimissha jamii kuhusu ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto.

"Tunaamini waandishi wa habari na kama wakielewa jambo vizuri wanaweza kusaidia kueleza jamii vyema kwani watakuwa wameshaelewa jinsi ukatili wa mama na mtoto ulivyo na athari kwa jamii," alisema Ledama.

Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Margareth Mussai akizungumzia jinsi mpango mkakati utakaozinduliwa utaweza kupunguza ukatili kwa mama na watoto.
Pedro Guerra kutoka UNICEF akizungumza jambo katika semina iliyowahusisha waandishi wa habari ili kuweza kuripoti habari za kijinsia hasa za manyanyaso ya mama na mtoto.

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wanawake (UN WOMEN) Lucy Tesha akizungumza jinsi shirika hilo lilivyoweza kupambana na unyanyasaji wa kijinsia kwa mtoto wa kike
Baadhi ya waandishi wa habari wakichangia mada inayohusu ukatili wa mama na mtoto katika semina iliyofanyika katika hoteli ya Double Tree jijini Dar es Saalaam leo.
 Ruth Ayisi kutoka UNICEF  akitoa ufafanuzi kuhusu njia  wanazoweza kuzitumia waandishi wa habari kuripoti habari za unyanyasaji wa kijinsia kwa mama na mtoto.

Baadhi ya waandishi wakijadiliana 

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye semina

TAARIFA YA KATIBU MKUU JUU YA UPATIKANAJI WA DAWA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM LEO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi  Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia wafanyakazi waliokuwa wakimshangilia wakati akitembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi  Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa  Meneja wa Kitengo cha Kontena wa  Kampuni ya Ushushaji Shehena ya makasha  Bandarini ya Tanzania International Container Terminal (TICTS)  Bw. Donald Talawa  alipotembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa  Meneja wa Kitengo cha Kontena wa  Kampuni ya Ushushaji Shehena ya makasha  Bandarini ya Tanzania International Container Terminal (TICTS)  Bw. Donald Talawa  alipotembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa mapendekezo  kwa  Kampuni ya Ushushaji Shehena ya makasha  Bandarini ya Tanzania International Container Terminal (TICTS)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa  Meneja wa Kitengo cha Kontena wa  Kampuni ya Ushushaji Shehena ya makasha  Bandarini ya Tanzania International Container Terminal (TICTS)  Bw. Donald Talawa  alipotembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mary Mhayaya kuhusu  uthibiti wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini  kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kuhusu zoezi la  uthibiti wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini  kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya kupimia kiwango cha mafuta yanayoingia nchini  kutoka kwenye meli (Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa maelekezo  kuangalia sehemu ya kupimia kiwango cha mafuta yanayoingia nchini  kutoka kwenye meli (Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozwa na Mhandisi Mary Mhayaya kuhusu akikagua mtambo wa  uthibiti wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini  kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mary Mhayaya kuhusu  chumba cha mitambo ya  uthibiti wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini  kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo ya chumba cha ukaguzi wa mizigo (scanner) inayoingia nchini  katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo ya chumba cha ukaguzi wa mizigo (scanner) inayoingia nchini  katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 
 Wafanyakazi wa bandari ya Dar es salaam wakimlaki kwa furaha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipofika kuongea nao baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 

 Mwenyekiti wa Wafanyakazi wa Bandarini Bw.  Mashaka Karume akieleza baadhi ya changamoto wanazokabiliana nazo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016

 Wafanyakazi wa bandari ya Dar es salaam wakimsikiliza   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipofika kuongea nao baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuongea na wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwaaga  wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapungia mkono kuwaaga  na wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016