Baadhi ya watu wakiangalia ajali ya daladala lenye
namba za usajili T 871 BGY linalofanya safari zake kati ya Mwenge na Temeke
lililogongana na pikipiki katika makutano ya barabara ya Chang’ombe na Nyerere
jijini Dar es Salaam leo.Picha Zote na Mdau Francis
Dande
No comments:
Post a Comment