Baadhi ya
Mabalozi, wakiwemo Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini, Mhe. Filiberto Ceriani
Sebregondi (kulia) na Naibu Balozi wa Ujerumani nchini, Mhe. Hans Koeppel
(katikati), wakimsikiliza Mhe. Waziri Membe wakati akizungumza nao jana katika
Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Mabalozi, wakiwemo Balozi wa Malawi, Mhe.
Flosie Asekanao Gomile-Subiaomba (wa tano kutoka kushoto) na Mabalozi kutoka
nchi za Nigeria, Pakistani, Palestina, Rwanda, Somalia na nchi nyingine,
wakimsikiliza Mhe. Waziri Membe wakati akizungumza nao jana katika Ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza masuala mbalimbali na Mabalozi na
Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa hapa nchini jana katika Ukumbi wa
Karimjee, jijini Dar es Salaam. Pichani ni Balozi Rajab Gamaha (kulia), Kaimu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mhe. Balozi
Juma Mpango (kushoto) wa Kongo DRC ambaye pia ni Kiongozi wa Mabalozi hapa
nchini. Picha na Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa.(MOFA)
No comments:
Post a Comment