Godlove Muliahela akifanya 'shooting' ya wimbo wake ambao utatoka hivi karibuni.
Ilikuwa ni wakati wa mapumziko hapa Godlove Muliahela akiwa pamoja na 'producers' wake.
Kazi ya kuendelea kurekodi wimbo wake ikiendelea.
Godlove Muliahela akiwa pamoja na Mpiga picha wake wa video.
Godlove Muliahela akiwa pamoja na kwaya yake huko Ujerumani.
Kwa Taarifa zake zaidi Tembelea Website yake hapa http://www.god-love.de/

No comments:
Post a Comment