By: VIJIMAMBO
on August 15, 2012
/
 |
|
Mwenyekiti wa
Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akifungua rasmi mkutano wa wadau wa chanjo wa uraghibishi kuhusu uanzishaji wa
chanjo mbili mpya za kukinga magonjwa ya nimonia na kuhara kwa watoto. Mkutano
huo ulifanyika katika hoteli ya Serena,jijini Dar es Salaam tarehe 14.8.2012.
Taasisi ya WAMA hujishughulisha pia na masuala ya afya ya mama na mtoto. PICHA
NA JOHN LUKUWI
|
Tag:
PAMOJA BLOG's Admin
HABARI, SIASA , AFYA , JAMII NA MATUKIO MBALIMBALI.
No comments:
Post a Comment