Wasichana wa jamii ya Wadzabe wakiwa kwenye pozi kuulaki Mwenge wilayani Ngorongoro.
Baadhi
ya wananchi waliopata bahati ya kushika Mwenge wa Uhuru kwenye kituo
cha Polisi Ngorongoro kilichokarabatiwa na Mamlaka ya Hifadhi ya
Ngorongoro(NCAA).
Mkuu
wa mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo akiwa ameshika Mwenge wa Uhuru kabla
ya kuukabidhi kwa mkuu wa mkoa wa Mara kwenye lango la Hifadhi ya Taifa
Serengeti
Mkuu
wa wilaya ya Karatu,Felix Ntibenda(kulia)akiwa na wakimbiza Mwenge wa
Uhuru kitaifa na askari wa kutuliza ghasia mkoa wa Arusha wakiwa katika
hali ya hamasa na ukakamavu
No comments:
Post a Comment