Huyu
ni Yu Wenxia (23) kutoka China ambae ndio ametangazwa mshindi katika
Miss World 2012 ambapo hii inakua mara ya pili kwa China kushinda Miss
World, mara ya kwanza ilikua 2007.
Alie
mbele kushoto ndio Miss World 2012 namba mbili kutoka Wales, wa
katikati ndio Miss World 2012 kutoka China na mshindi wa tatu alie kulia
ni kutoka Australia.
.
.
Picha za chini zinazofata ni wakati wakiwa backstage.
.
Mamiss kutoka nchi mbalimbali.
Miss Lebanon.
Miss Hungary 2012 na Miss Slovania 2012.
Miss Cyprus 2012.
Miss Kazakstan.
Miss South Sudan.
Mshindi wa shindano la urembo la Miss World ni Yu Wenxia kutoka nchini China. Ushindi huo umetangazwa muda sio mrefu jijini Ordos nchini Mongolia ambapo mshindi wa pili ametokea Sophie Elizabeth Moulds wa kutokea Wales na mshindi wa tatu akiwa Jessica Michelle Kahawaty wa Australia.
Yu Wenxia mwenye miaka 23,ni mwanafunzi wa muziki ambaye anadhamiria kufundisha muziki pia.
Washindi kutoka Africa waliopeta katika mashindao hayo ni warembo kutoka Kenya na South Sudan, ambapo Kenya alifanikiwa kutinga mpaka Nusu fainali za shindano huko mrembo kutoka South Sudan akifanikiwa kufikia hatua ya finali.
Tangu hatua za awali, mrembo wa South Sudan alionekana kushiriki na kufanikiwa katika michuano ya Beach Beauty, pamoja na shindano la Top Model.

No comments:
Post a Comment