Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye jana
aliandaa futari kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya Forest kwa
ajili ya mabalozi wa nyumba kumi na baadhi ya viongozi wa CCM kutoka
wilaya za mkoa wa Morogoro jana jioni Agosti 17, 2012.
Nape akiongea na Mmoja wa Waalikwa Kwenye Futari Aliyoiandaa
Nape Akizungumza Jukwaani baada ya shughuri ya Futari Kukamilika
Picha: Bashir Nkoromo.









No comments:
Post a Comment