PPF YATOA MSAADA VITABU NA VIFAA VYA MICHEZO VYA TSH. MILIONI 6.8 SEKONDARI YA WILIAM LUKUVI PAWAGA

Mbunge wa jimbo la Isimani Mhe.Wiliam Lukuvi (kushoto) akipokea vitabu kutoka kwa meneja wa mawasiliano wa PPF lulu Mengele
Mbunge Wiliam Lukuvi (kushoto) akipokea vifaa vya michezo jezi na mipira ambayo PPF imeitoa kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete ambaye aliwaahidi vijana wa Pawaga vifaa hivyo ,hivyo PPF kama wajibu wake wa kushirikiana na jamii kulazimika kutoa vifaa hivyo na vingine kwa shule ya sekondari vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya TSh. milioni 6.8
Mbunge Lukuvi akifurahia vifaa vya PPF vilivyo tolewa jimboni kwake
Hivi ndivyo vifaa vilivyotolewa na PPF

No comments

Powered by Blogger.