Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Meya wa Manispaa ya Kinondoni
Mstahiki Yusuph Mwenda wakati alipowasili katika msikiti wa Kinondoni
Muslim jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Swala ya Idd leo Agosti 19,
2012.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa wakati alipowasili katika msikiti wa
Kinondoni Muslim jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Swala ya Idd leo
Agosti 19, 2012.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa miongoni wa waumini kusikiliza mawaidha
kutoka kwa Sheikh Abubakar Zubeir katika msikiti wa Kinondoni Muslim
jijini Dar es Salaam baada ya ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na waumini katika msikiti wa Kinondoni
Muslim jijini Dar es Salaam baada ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012.
Mama
Salma Kikwete akipeana mkono wa Iddi na kinamama waliohudhuria Swala ya
Iddi leo Agosti 19, 2012 katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar
es Salaam.
(PICHA NA IKULU)



No comments:
Post a Comment