Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Waislamu,
wananchi na VCiongozi mbali mbali katika Sala ya Iddi El Fitr
iliyosaliwa Kitaifa katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo.
Wengine ni Makamu wa Pili wa Rais, Seif Sharif Hamad.
Waumini wakiwa kwenye Sala hiyo ya Eid mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na watoto
wa Kiislamu walioshiriki katika Sala ya Iddi el Firti iliyowajumuisha
waislamu kutoka mitaa mbali mbali katika Mji wa Zanzibar,na kusaliwa
Kitaifa katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo.
(Picha na Ramadhan Othman IKulu).






No comments:
Post a Comment