HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » RAIS WA ZANZIBAR ASHIRIKI ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Moahmed Shein, akijiandikisha na  familia yake kwa Karani,  Asia Hassan Mussa,(kushoto) katika zoezi la Sensa ya Watu na Makaazi, lililoanza leo nchini kote,Rais  akiwa katika  Shehia ya Migombani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(kulia ) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: