Roma Mkatoliki,TMK Wanaume wanogesha bonanza Grand Malt & Vita Malt Coco Beach jijini dar leo

Msanii mkali wa Muziki wa Hip Hop hapa nchini,Roma Mkatoliki akitoa burudani kabambe kwa washabiki wake walikuwa wamefukika kwa wingi katika viwanja vya Fukwe ya Coco Beach,jijini Dar es Salaam jioni ya leo ikiwa ni bonanza la vinywaji visivyo na kilevu vya Grand Malt na Vita Malt kutoka kampuni ya bia Tanzania (TBL).
Wasanii wa Kundi la TMK Wanaume Family,Chegge na Temba wakifanya vitu vyao wakati wa Bonanza na Grand Malt na Vita Malt,kwenye viwanja vya Fukwe ya Coco Beach jijini Dar es Salaam leo.
Bibi. Cheka kutoka TMK wanaumeeee akichana ile michano ya kifree style mbele ya umati wa watu uliokuwa umefurika kwenye viwanja vya fukwe ya Coco Beach,jijini Dar es Salaam leo.
Jukwaa la ukweli na lakisasa ndilo lililokuwa limefungwa leo.

BOFYA HAPA KUPATA UHONDO WA MAPICHA KEDEKEDE

No comments

Powered by Blogger.