HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » Shekhe Mkuu Aongoza Swala Ya Idd Kitaifa Mkoani Ruvuma Leo

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu kulia akimkaribisha shekhe mkuu wa Tanzania Mufti Issa Shaban Simba kushoto,wakati wa swala ya idd el fitri iliyofanyika katika msikiti wa masjidi Hudda mjini Songea.
Shekhe mkuu wa Tamnzania mufuti Issa Shaban Simba akiingia katika msikiti wa masjid Hudda wakati wa swala ya idd el fitri mjini Songea ambayo kitaifa ilifanyika mkoani Ruvuma.
Shekhe mkuu wa Tanzania shekhe Issa Shaban Simba akizungumza na waumini wa dini ya kiislamu wa mkoa wa Ruvuma katika msikiti wa Masjid Hudda Manispaa ya Songea wakati wa swala ya Idd El Fitri ambayo kitaifa ilifanyika mkoani Ruvuma.

Shekh Issa Shaban Simba akitoka katika swala ya Idd El Fitri ambayo kitaifa ilifanyika mkoani Ruvuma.Imamu wa msikiti wa masjid Hudda Sheke Shaban Mbaya akito mahubiri kwa waumini wa dini ya kiislamu wa wilaya ya songea wakati wa sikukuu ya Idd El Fitri ambayi kitaifa ilifanyika katika msikiti huo.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: