Shughuli Mbalimbali Za JK.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali aliyemsindikiza katika uwanja wa ndege wa ,kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2012  muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC jijini Maputo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema katika uwanja wa ndege wa ,kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2012  muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC jijini Maputo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Magharibi kabla ya kushiriki katika futari aliyoandaliwa na wananchi wa Tanga jana Agosti 15, 2012 jijini Tanga.

Rais Jakaya Kikwete akiagana na baadhi ya wananchi wa Tanga waliojitokeza kumsindikiza baada ya kushiriki kwenye futari waliyomwandalia jana Agosti 15, 2012 jijini Tanga.

No comments

Powered by Blogger.