Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jana Agosti 9,
2012 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kotoka jijini Accra, Ghana,
kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mills
anayetarajiwa kuzikwa kesho Ijumaa Agosti 10, 2012. PICHA NA IKULU
-






No comments:
Post a Comment