Mh. Waziri Mkuu akiwasili Viwanjani hapo
Akipokelewa na wenyeji wake na kusindikizwa sehemu ambayo ameandaliwa kwa ajili ya kuaa.
Mh. Pinda akiweka kumbukumbu zake vizuri katika ‘notice book’ yake.
Kamishna wa Sensa Haijat Mrisho Said akitoa hotuba yake.
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliohudhuria uzinduzi huo.
Baadhi ya wanachi wakifuatilia kwa makini uzinduzi huo.
Wapiga matarumbeta wakiwa wamepumzika kidogo.
Moja ya bango ambalo lilibebwa na wanachi hao likitoa ujumbe kuhusu Sensa.
Wanachi kutoka wilaya ya Temeke.
Wanawake nao hawakuwa nyuma katika shughuli hiyo ya uzinduzi.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akitoa hotuba yake Mh.Sadik Meck Sadik
Wanahabari wakiwa kazini.
Mtayarishaji na mmiliki wa studio ya J.Silk Production, Juma Silk akiwa katika majukumu yake ya kikazi jamaa huwa hataki kujulikana anafanya kazi wapi dili ndiyo limebumbuluka kumbe mshikaji anapiga mzigo TBC
Makamu wa pili wa rais visiwani Zanzibar Balozi Seif Idd naye alikitoa hotuba yake.
Waziri Mkuu akitoa hotuba.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akisikiliza kwa umakini hotuba hiyo ya Waziri Mkuu.
Mh. Waziri Mkuu akienda kuzindua rasmi.
Mh. Pinda akikata utepe.
Mh. Waziri Mkuu akipandisha tambala la bluu juu.
Tayari lishafunuka lote.
Akipongezwa kwa kukamilisha zoezi hilo.
Akipiga makofi kuashiria kuwa amefurahia jambo hilo.
Mh. Waziri Mkuu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine.
Mwanamuziki Estalina Sanga kutoka THT akiwa katika pozi kusubili zamu yao ya kuimba.
Baadhi ya waimbaji kutoka THT wakiwa katika picha ya pamoja.
Kamisaa wa Sensa Mwalimu Haji Amir akitoa neno la shukrani.
Bango linaloashiri zozei la Sensa likionekana kwa uzuri zaidi.
Mh. Waziri Mkuu akiondoka eneo hilo la tukio.
Baadhi ya wageni waalikwa nao wakiondoka.
Bendi kipiga wimbo maalum unaohusu Sensa.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Jordan Lungimbano akicheza muziki wa wimbo maalum unaohusu Sensa.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria uzinduzi huo wakiondoka
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mizengo Peter Pinda, amezindua rasmi zoezi la Sensa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam jana.
Akizungumza katika uzinduzi huo Mh. Waziri Mkuu alisema kuwa, zoezi la maandalizi ya uhesabu wa Sensa limegharimu kiasi cha shilingi zaidi ya bilioni mia moja hivyo amewataka wananchi hasa waislamu wasiyumbishwe na maneno ya baadhi ya mashekh wanaotaka kugomea zoezi hilo.
“Sensa ni moja ya kujua serikali yetu ina idadi ya watu wangapi, hivyo kuifanya serikali iweze kujua idadi ya watu ilionao ili ipange mikakati bora ya kutoa huduma” alisema Mh. Pinda.
PICHA / HABARI: SHAKOOR JONGO /GPL
TAARIFA HII IMETOKA http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/waziri-mkuu-azindua-zoezi-la-sensa

No comments:
Post a Comment