Nimepokea simu toka Zanzibar kuhusu kuuwawa kwa askari mwingine. Ni
habari za kusikitisha ingawa sio rasmi sana ila ni za uhakika ,
inasemakana askali mwingine wa kike ameuwawa jana mida usiku akitokea
kazini , mazingira ya kifo hayana tofauti na kifo cha askali aliyeuwawa
juzi huko Zanzibar! hadi sasa hakuna aliyeshikwa wala kuhusishwa na
tukio hilo.
CHANZO:http://chingaone.blogspot.com



No comments:
Post a Comment