Kipeperushi cha Kuchochea Maanzamano
Hili
ni moja ya Gari lililobeba wanajeshi ambao walikua doria wakati
waandamaji waripoleta vurugu na kusababisha vurugu na mabomu ya machozi
kulindima kwenye baadhi ya maeneo kama vile Kariakoo na Posta.
Msafara wa magari ya JWTZ kuelekea tuliza Vurugu
Magari ya JWTZ Yakiwa yanaelekea eneo la Tukio







No comments:
Post a Comment