HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BREAKING NEWZZ MBUNGE MSTAAFU WA JIMBO LA MUFINDI MHE MALANGALILA AFARIKI DUNIA

 
Mbunge mstaafu  wa  jimbo la Mufindi  kusini kupitia CCM Mhe.Benito Malangalila (pichani kulia )amefariki dunia  usiku  wa kuamkia  leo katika hospitali ya wilaya ya Mufindi mjini Mafinga mkoani Iringa ,Malangalila amepata  kuwa mbunge wa  jimbo hilo toka mwaka 2005 hadi 2010 alipoamua  kustaafu na  kumwachia mbunge wa  Sasa  Bw Menderady Kigolla (CCM) hata  hivyo mbunge  huyo kabla na baada ya  kustaafu alikuwa akiugua mara kwa mara na muda  wote toka alipoamua kuachana na siasa  alikuwa akiugua na kujipumzisha  nyumbani kwake. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amina.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: