HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MWENDESHA BODABODA AGONGWA MAKUTANO YA BARABARA ZA KILWA NA MANDELA ASUBUHI HII

Wasamaria wema wakimsaidia Mwendesha Bodaboda  ambaye ambaye jina lake halikupatikana mara moja kutokana na kupoteza fahamu mara baada ya kugongwa na Daladala lenye namba za usajili T 681 ATX linalofanya safari zake kati ya Mbagala na Kariako katika makutano ya barabara za Kilwa na Mandela asubuhi hii jijini Dar es salaam.
Hapa akiwa amelala huku akiwa amepoteza fahamu.
Askari wa kikosi cha usalama barabarani akiamuamuru dereva wa Daladala hilo kulipeleka  kituoni kwa ajili ya hatua mbalimbali za kisheria kutokana na kutokea kwa ajali hiyo.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: