HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TUNAKOELEKEA HUKU SIO KUZURI; KICHANGA CHAOKOTWA KIKIWA KIMETUPWA CHINI YA MLIMA KIVES


Baadhi ya wananchi waliojitokeza kuuangalia mwili wa kichanga hicho



Mtoto mwenye umri wa siku moja wa jinsia ya kike akiwa amewekwa kwenye ndoo na kutupwa


Afisa wa polisi akiuchukua mwili wa mtoto huyo uliofungwa na kanga na kutolewa na msamaria mwema muda mfupi baada ya kutaarifiwa kuhusu tukio hilo.
Hakuna maelezo kuwa kichanga hicho kimekutwa hai maana hakuna maelezo yaliyotolewa yenye huakika kwakuwa mtu aliyeweka picha ametumia maneno kama ‘mwili’ wa mtoto huyo kumaanisha kuwa hakuwa hai.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: