Gari aina ya Costaleo alfajiri imeparamia nguzo mbili za taa za barabarani eneo la barabara kuu iendayo Zambia ajari hiyo imesababishwa na mwendo kasi wa dereva alikuwa anawahi abilia kituo cha Mwanjelwa na Uyole
Katika basi hilo hakuna aliyejeruhiwa ila dereva kakimbia kukwepa mkono wa sheria
Hizi ndizo nguzo za taa za barabarani zilizogongwa na basi hilo asubuhi ya leo
No comments:
Post a Comment