Rais Barack Obama akifurahi baada ya kutangazwa mshindi wa urais wa Marekani
Rais Obama na wafuasi wake
Obama akitoa SPEECH huko Charllotte
Barack Obama akimhug mke wake
Barack Obama akiwa na familia yake baada ya kutangazwa mshindi
Vice-president, Joe Biden
Jill Biden, mke wa Vice-president
Baadhi ya Wamarekani wakionesha hisia zao baada ya Barack Obama kushinda kiti cha urais
.
Na huko Kenya mambo hayakulala
Rais Barack Obama ameshinda katika majimbo
ambayo yalikuwa muhimu sana kubaini mshindi wa uchaguzi huu ambayo ni
Michigan na Pennsylvania, pamoja na mengine ambayo alishinda katika
uchaguzi wa mwaka 2008. Obama ameshinda kwa 303 na mpinzani wake Romney kwa 206 kutoka kwenye majimbo yote wakati ili kushinda uchaguzi wa Marekani, mgombea anahitaji kupata angalau kura 270 katika majimbo yote.





No comments:
Post a Comment