HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » GARI LA VODACOM LAPATA AJARI JIJINI MBEYA

Ajali hii imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya barabara ya Mbalizi kuelekea Mabatini Gari hiyo mali ya kampuni ya simu vodacom iliporamia nguzo ya taa za barabarani  na dereva wake amejulikana kwa jina moja tu Karinga ambae ameumia kidogo chanzo cha ajali mpaka sasa hakijajulikana

Namba zake za usajili ni T 950 ASJ

Gali lilidondoka kwenye mtaro baada ya kugonga nguzo ya taa za barabarani

Hii ndiyo nguzo iliyogongwa na gari hiyo mali ya vodacom

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: