| HII KALI SIJUI ASKARI HUYU ALIKUWA ANACHORA NINI HAPO CHINI HII NI BARABARA YA MBEYA PEAK KWENDA UWANJA WA SOKOINE MBEYA |
| KWAKWELI IMECHUKUA MUDA KAMA DAKIKA TANO AKIENDELEA KUCHORA HAPO CHINI TUMESHINDWA KUPATA NAMBA ZAKE AU JINA LAKE LAKINI TUNAHISI HUWENDA MAHESABU YA KIFEDHA YANAMSUMBUA |
| SASA KAINUKA NA KUANZA KUFUTA KWA BUTI LAKE MAANDISHI ALIOANDIKA HAPO CHINI |



No comments:
Post a Comment