Makamu mpya wa CCM Tanzania bara Bw Philip Mangula,aliyepita bila kupingwa leo azoa kura zote(2397)
zilizopigwa sanjari na makamu wa Zanzibar Dr Ally Mohamed Shein
aliyepata kura zote za ndio 2397 huku mwenyekiti wao wa CCM Taifa Dkt
Jakaya Kikwete akipata kura 2395 kati ya kura 2397 zilizopigwa huku wajumbe wawili wakimpinga kuwa fafai kuendelea kuwa mwenyekiti wa CCM.
Mgombea wa Uenyekiti wa CCM, Taifa, Rais Jakaya Kikwete akipiga kura
kuchagua wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, jioni hii,
kwenye ukumbi wa Kizota, Dodoma. Kulia ni Philip Mangula ambaye
ameshinda kwa kishindo leona watatu kulia ni Makamu Mwenyekiti
Zanzibar,
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni.
Huku msimamizi wa uchaguzi huo Spika Anne Makinda akitangaza washindi kura nafasi ya NEC Bara kuwa ni pamoja na
Huku msimamizi wa uchaguzi huo Spika Anne Makinda akitangaza washindi kura nafasi ya NEC Bara kuwa ni pamoja na
Dr Fenela Nkangala
984
Jackson Msome 1207
Wilison Mukama 1374
Dkt David Matayo
David 1414
Benard Membe 1455
Wiliam Lukuvi 1805
Martin Shigera 1824
Mwiguru Mchemba 2012
January Makamba 2093
Stevin wasira 2135
CHANZO:http://francisgodwin.blogspot.com
No comments:
Post a Comment