Mama Mzazi wa Marehemu
Nape akizungumza na wananchi waliofika katika msiba huo.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.




Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele

![]() |
Umati wa watu walioudhuri kwenye msiba wa Marehemu Sharo Milionea |

Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono
wakielekea kwenye mazishini

Baadhi ya watu wakiwa wamepanda juu ya mnazi ili kuona vizuri mazishi ya marehemu Sharo Milionea
No comments:
Post a Comment