HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MILLIONI 50 ZITAENDA KWA NANI IJUMAA HII: FAINALI ZA EBSS NDANI YA DIAMOND JUBILEE

  Godrey Kato akiimba wiki hii mbele ya majaji.

Godfrey Kato na Husna Nassor wakiwa katika jukwaa pamoja katika performance ya husna.
 Nsami Nkwabi akicheza na kuimba.
 
 Nshoma akipiga ngoma huku akiimba na kucheza.
Salma Yusuf akiingia katika jukwaa
 Wababa Mtuka akifungukaa.
 
 Walter Chilambo akiimba mbele ya majaji na wageni waalikwa.
Nshoma baada ya kuambiwa kaingia top five
Fainali za EBSS kufanyika ijumaa hii tarehe 9 ndani ya Diamond Jubilee
 
Bei za Ticket: VVIP (Tsh 70,000/=), VIP (Tsh 30,000/=), Kawaida (Tsh 10,000/=) - Kufanya booking piga namba: +255 778 952 795
 
TICKETS ZINAPATIKANA:
1. SHEAR ILLUSIONS – MLIMANI CITY
2. BIGGY RESPECT- KARIAKOO
3. STEERS- MJINI (CITY CENTRE)
4. ZIZZOU FASHION (VICTORIA & SINZA)
5. PHOTOPOINT- MAYFAIR PLAZA
6. ROBY ONE FASHIONS (KINONDONI)
7. BEST BITE
8. SAMAKI SAMAKI- MBEZI
9. DIAMOND JUBILEE HALL
 
Wanamuziki wafuatao watakuwepo kuwapa burudani siku ya Fainali za EBSS.
1. RICH MAVOKO
2. OMI DIMPLES
3. BEN POL
4. LINA
5. AMINI
6. MZEE YUSUF
7. HAJI RAMADHAN
8. MWASITI
9. DITTO
10. LAILA RASHID
11. LINEX
12. BARNABA
 
Fans wa ukurasa wa EBSS kwenye Facebook wanaweza kujishindia ticket mbili kila mmoja kwa kujibu maswali yatakayoulizwa katika ukurasa huo.
 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: