HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MTOTO ANETH APELEKWA MAHAKAMANI KUTOA USHAHIDI

 Mtoto Aneth katikati akiwa na mama yake kulia wakiingia mahakamani leo

Wilviina Mkandala anayetuhumiwa kwa kumuunguza na kusababisha mtotoAneth kukatwa mkono akiingizwa mahakamani
Wakazi wa mbeya na vitongoji vyake wamejitokeza kwa wingi kusikiliza kesi ya mtoto Aneth

Mtoto Aneth akisalimiana na mama aliyekumuhudumia hospitalini kabla mama yakemzazi kuja kutoka Bukoba
Mama Aneth akiondoka na mwanae mara baada ya hakimu kumuona mtoto huyo na kupata maelezo mafupi toka kwa mtoto Aneth ambaye alishindwa kabisa kuongea mara tu alipomuona Shangazi yake huyo aliyemchoma moto na kesi imahairishwa mpaka tarehe 6/12 / 2012

 Mtoto Aneth mara baada ya kutoka katika chumba cha mahakama akisubili kurudishwa katika hospitali ya Rufaa kuendelea na matibabu
HUKU AKINA MAMA WAKIWA NA JAZBA YA KUTAKA HAKIMU AWAACHIE KIDOGO JAPO KWA DAKIKA TANO WAMFUNZE ADABU MTUHUMIWA HUYO KWANI WANADAI AMEWADHALILISHA SANA KWA KITENDO HICHO CHA KUMTESA MTOTO ANETH
Wanahasir hao wanatamani wapewe hata dakika 5 tu hapa kazi ipo

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: