Mwili wa marehemu ukiwa ndani ya jeneza.
Padri Evodius Miku wa Parokia ya Mwananyamala akinyunyiza maji ya baraka kwenye jeneza.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akitoa salam za
Chama, kwenye msiba wa msanii, Joseph Maganga, Mwananyamala, Dar es
salaam. Maganga alifariki Jumamosi hii
Dada wa marehemu, Janeth (katikati) akilia kwa uchungu.
Nape (kulia) akiwa kwenye msiba huo
Wasanii wa Bongo Movie wakibeba jeneza lenye mwili wa msanii mwenzao,
John Maganga, wakati wa kuaga mwili huo, Mwananyamala, Dar es Salaam
Baba wa marehemu, Stephano Maganga (kulia), akiwa na uso wa huzuni.
Msanii wa Bongo Movie, Husna Maulidi 'Lishez', akitulizwa na wenzake,
Babby Candy na Ketty wakati akilia kwa uchungu, wakati wa kuaga mwili
wa Msanii wa Bongo Movie, marehemu John Maganga
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpa pole Stephen
Maganga, baba wa msanii John Maganga wakati wa kuaga mwili wa msanii
huyo, Mwananyama, Dar es salaam
Nape akizungumza na Rais wa Chama Cha Bongo Movie wakati wa msiba huo



No comments:
Post a Comment